Pages

Alhamisi, Septemba 26, 2013

BAADHI YA WATU HUPENDA KUNYWA DAWA BILA YA KWENDA KUPIMA AFYA.

Kwa wale wanaopenda kunywa dawa bila ya kupima afya, je ulishawahi kufikiria kuwa unahatarisha afya yako kwa kufanya hivyo? Unaweza kumkuta mtu anakunywa dawa za kutibu ugonjwa wa Malaria, au ugonjwa wowote ule kwa kuhisi tu, bila ya kwenda kupima afya. Wataalamu wanakuambia ni vyema kupima afya yako kabla ya kutumia dawa yoyote ile lakini kwa kiasi kikubwa bado kuna watu ambao wanakunywa dawa kwa kuhisi ugonjwa anaoumwa. NI VYEMA KUPIMA AFYA YAKO MARA KWA MARA, KUNYWA DA WA UKIWA NA UHAKIKA NA UGONJWA ULIONAO. 

Maoni 1 :

emu-three alisema ...

Unafikiri kwann mpendwa , ukiachilia mbali adui ujinga, lakini pia kuna adui mwingine `umasikini'...chunguza kwa makini, utaliona hili.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom