Pages

Alhamisi, Septemba 05, 2013

PENDELEA KUNYWA JUICE YA KUTENGENEZA MWENYEWE

Juice ya kutengeneza mwenyewe ni nzuri zaidi, ikiwa ni kwa matunda ya aina mbalimbali, kama maembe, machungwa, tikiti maji, nanasi nk, Juice unaweza kunywa wakati wowote ule, unaweza kuifanya kama kifungua kinywa, badala ya kunywa chai au maziwa asubuhi unakunywa juice ni nzuri pia kwa wale wanaopenda kupunguza uzito, kwani unapotengeneza juice yako kwa mchanganyiko wa matunda bila ya kuweka sukari basi inasaidia sana kupunguza mafuta mwilini. 

Maoni 1 :

Said Kamotta alisema ...

Ahsante sana dada Adela kwa dondoo nzuri ya afya.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom