Mchezaji filamu wa Ghana Van Vicker ametimiza miaka 10 ya ndoa na mkewe Adjoa. Wawili hawa walifunga ndoa oktoba 16, 2013. |
Van Vicker na mke na watoto wao.Vicker pia ni mtangazaji wa Radio. |
enzi hizo akiwa na mke wake kabla ya kufunga ndoa |
ujumbe wake ni kwamba "Penzi nililonalo kwa mke wangu Adjoa halitokufa na badala yake linazidi kuwa imara kila siku" |
Maoni 1 :
Watanunaje???
Chapisha Maoni