Pages

Jumatano, Februari 05, 2014

WHATS APP ,,,,,NA KASHESHE KATIKA MAHUSIANO


Dada huyu ambaye hakupenda kutaja jina lake anasema Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl

Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia

Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana 

Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema 
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.

Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Plz dd,usijaribu kbs kuichukia ndoa yk,,kwani tyr mshajenga uhusiano wa damu(mtoto),vumilia hicho ni kipindi tu kitapita ,na elewa ww ndo upo ndani wengine wapita njia,pia ingia magotini mwombe mungu kwani jini mahaba ameingilia sana upande wa wanandoa...na zaidi ongeza mapenzi kwa mumeo,mjulie hali mara kwa mara awapo mbali na wewe(mawasiliano) ili asijisahau elewa wanaume ni watoto,jiamini.pia siku tafuta mda sema nae kwa upole kbs...mweleze mm sipendi mume wangu vile unavyofanya .atakuelewa vzr....na mengi ya kukuambia...nicheki kwa no,0653985655,yani mm pia yalinikuta lkn nilipambana na ss na amani kwa kweli na mbinu zote ninazo

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom