Pages

Jumatano, Machi 12, 2014

DUUUH HUYU MWANAMKE HATARI


Mtu mmoja nchini Ujerumani amesema atafungua mashtaka dhidi ya mwanamke aliyemfungia ndani kwa muda wa saa tano mfululizo na kumlazimisha  kufanya naye mapenzi. Bwana huyo anayefahamika kwa jina la Dieter ameliambia gazeti moja mjini humo kuwa alilazimika kupiga simu polisi waje kumuokoa  kutoka nyumbani kwa mwanamke aliyemfungia ndani. Polisi walifika na kumfungulia mlango ambapo bado upelelezi unaendelea.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom