Watoto wengi wamejikuta katika maisha ya kutangatanga hasa baada ya ndoa nyingi kuvunjika kutokana na migogoro katika familia .Migogoro katika familia, unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto, ni mambo ambayo yanasababisha watoto kuishi kwa hofu miongoni mwa jamii
|
Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wanakutana na changamoto nyingi sana, kama ubakaji, kuharibika kisaikolojia, kukosa elimu, kukosa haki za msingi na mengineyo mengi ambayo ni muhimu kwa mtoto ni vyema jamii ikalitambua jambo hili kwa mapana zaidi na kuwa mstari wa mbele katika kuwasaidia watoto kutimiza malengo yao ikiwa ni pamoja na kupata haki zote za msingi. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni