|
Hivi karibuni Jayz na Beyonce wamesherekea miaka 6 ya ndoa, kabla ya sherehe yao usiku, wawili hao walionekana wakitokea katika ofisi moja ya mjini New York huku Jay Z akiwa amembeba binti yao Blue Ivy.
|
|
Ndoa ya wasanii hao wawili wenye mafanikio makubwa kimuziki, imekuwa mfano kwa nyota , wengine ambao wamekuwa wakishindwa kudumu kwa japo miaka michache.Jay Z amekuwa akimsifia mke wake katika mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuendelea kuutunza uzuri wake ikiwemo na umbo lake zuri la kuvutia.
|
Kila kitu kinawezekana, mnaweza kufurahia ndoa yenu hata miaka 50 na zadi cha muhumu ni uvumilivu, uaminifu, ubunifu na mapenzi ya dhati wakati wote katika shida na raha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni