Jumanne, Aprili 22, 2014

UJUMBE WA LEO

Elimu ni silaha muhimu ya ukombozi wa maisha ya wasichana pamoja na jamii nzima kwa ujumla. Vikwazo vya aina yoyote viondolewe ili kuwawezesha wasichana kuelimika hadi ukomo wa upeo wao.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom