Pages

Jumatano, Mei 28, 2014

REST IN PEACE RECHO SAGUDA

Poleni sana Bongo movie pamoja na ndugu jamaa na marafiki wa familia  ya Recho Saguda Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina
Enzi za uhai wake akiwa na rafiki yake kipenzi Jennifer Kyaka  ambaye ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa istagram jenniferkyakaRachel wangu jamaniiiiiii mimi mwenzenu,natamani yote 
yanayoendelea sasahivi iwe ni ndoto na siyo kweli,# Alikuwa shoga angu wa ukweli kabisaaaa,mdogo angu,msiri wangu,alikuwa kila kitu kwangu,nawezaje mimi sasa bila rachel jamaniiiiiii.....Natamani ungeiona hii picha niliyo post leo,najuwa ni nini ambacho ungeniambia.....Kama ni kweli kinachoendelea na siyo ndoto kama ninavyofikiri mimi,basi nakuombea shoga angu upumzike kwa amani wewe pamoja na mwanao....R .I.P

 alichoandika Zamaradi mketema kuhusu msiba wa Recho kupitia Instargram
OMG!!! Sijawahi kushtuka kama hivi... nasikitika kutangaza MSIBA mwingine mkubwa ndani ya BONGO MOVIE!!! RACHEL HAULE hatunae tena duniani... AMEFARIKI Asubuhi ya leo... INALILLAHI WAINAILAIHI RAJIUN.... pumzika kwa Amani mama... MUNGU YUPO jamani!!!!!
KIUFUPI RACHEL alikuwa MJAMZITO... Na Taarifa niliyoipata tangu jana ni kwamba kulitokea complications wakati wa kujifungua ambapo alijifungua kwa Operation mtoto akafariki na yeye akawa amelazwa ICU.. lakini asubuhi ya LEO MUNGU akamchukua na yeye.... Hivyo ni MAMA na MTOTO ambao wamepotea.. POLE SANA SAGUDA kwa msiba huu mkubwa wa kupoteza MAMA na MTOTO!!!!! Kazi ya MUNGU HAINA MAKOSA!!!!
Enzi za uhai Recho akiwa na mpenzi wake, Pole sana Saguda Mungu akutangulie katika kipindi hiki kigumu chakumpoteza mtoto na mama yake.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom