Pages

Alhamisi, Juni 12, 2014

ALICHOKISEMA WEMA SEPETU KUHUSU URAFIKI WAKE NA KAJALA "MIMI SIWEKAGI KINYONGO"

wemasepetu Good morning instagramers.... Hope you all well... If y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments.... Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na nashindwa soma zote.... Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na sisemi chochote khs my friendship life... But mimi binafsi na muhusika ndo tunajua... saa nyingine mnaongea hadi nakereka but nakaa kimya... Nilitaka tu kusema mimi sina kinyongo na mtu... na kama kuisha mbona yalishaisha...Au ndo mlikuwa mnataka kuona bega kwa bega...? In my life siwekagi vinyongo... nyi wenyewe mnajua... So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha yanaendelea... ni hayo tu... Have a good day everebadi...😜😜😜😘...
kajalacelebrity2014 Hellow Africa!!!!I officially announce this#Finallyhakuna bifu wala chuki kati ya @new_kajala na @wemasepetu!!!Wameisha reconcile na kusolve differences zao, finally madam@wemasepetu ameweka wazi kwamba hana kinyongo tena shosti akeee Kay na hata Kajala amekubali kwamba hana bifu na madam, hizi ndo habari za ukweli kutoka kwa wahusika!!!!!Namalizia kwa kusema hivi," When destiny forgets to tie some people in blood relation...., it corrects that mistake by making them true friends!!!! @new_kajala @wemasepetumay God be with u!!!!

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom