Jumatatu, Juni 09, 2014

UJUMBE HUU MAALUMU KWA WANAWAKE DHIDI YA UKATILI WA WATOTO

Ni vyema wanawake  kuwajali watoto wote hata wale ambao hawakuwazaa ili kusaidia taifa kupunguza ukatili dhidi ya watoto, wanawake wametakiwa kuwa na moyo wa utoaji na siyo kwa watoto waliowazaa pekee.Ili tatizo la unyanyasaji wa watoto lipungue.
Kwani  kuna wanawake wanaowafanyia watoto ukatili kama vile si wazazi, si jambo jema haipendezi kumbuka watoto ni taifa la kesho hivyo wazazi wanawajibu wa kuwatunza na siyo kuwatenga na kuwanyanyasa.Ujumbe :Na mchungaji Zera Kilala. 

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom