Alhamisi, Juni 19, 2014

Ujumbe wa leo kwa vijana, kutoka kwa Muheshimiwa Mbunge Ridhiwani Kikwete

"Katika nadharia za maendeleo, siku zote maendeleo yanaanza na wewe mwenyewe na hasa hili nazungumza na vijana wenzangu, siyo huu utaratibu tulioanzisha kukaa vijiweni tunasubiri kiongozi amechaguliwa na wachache halafu kesho tunakuwa mstari wa mbele kulalamika kuwa huyu mtu hafai na hatujali sisi vijana.Vijana mnatakiwa kuacha tabia ya kukaa vijiweni kusubiri Serikali iwaletee maendeleo badala yake kila mmoja ahangaikie kuyasaka" Amesema  Ridhiwani ambaye pia ni mbunge wa Chalinze (CCM) Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani 

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom