Pages

Alhamisi, Machi 12, 2015

LEO NI SIKU YA FIGO DUNIANI

Siku hii ilianza kuadhimishwa mwaka 2006  na kuhusisha nchi wanachama wa shirikisho la kimataifa ya Vyama Magonjwa ya Figo Duniani (ISN) kwa kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kutoa elimu kwa jamiii juu ya afya na magonjwa ya figo kauli mbiu ya mwaka huu ni "AFYA YA FIGO KWA WOTE.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom