Pages

Jumamosi, Aprili 25, 2015

FILAMU YA HUBA SASA INAPATIKANA SOKONI

 
Filamu  mpya iliyochezwa na wakali wa Bongo Movies   Wolper, Mzee Majuto na wengine wengi, inayokwenda kwa jina la HUBA sasa inapatikana sokoni
Filamu ya Huba ni filamu inamzungumzia kijana alieachiwa mali na wazazi wake na yeye kuanza kuzitumia vibaya,kijana huyo alikua anaishi nyumba moja na babu yake ambaye ndio mzee Majuto.
Kijana alikua na tabia ya kubadili wasichana ndio akazama kwenye penzi la Wolper na kuzani Wolper anapenzi la dhati kwake kumbe amefata pesa tu.
 Stori na script vimendikwa na Lamata ambaye ndio muongozaji wa filamu hii na mpiga picha ni Kaputi Onyango.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom