Pages

Ijumaa, Aprili 17, 2015

"juhudi zako ndiyo mafanikio yako"

Unapojituma kufanya kazi kwa bidii, hata kama lile jambo litachelewa ama utakutana na changamoto nyingi sana za kukukatisha tamaa, ni vyema  usikate tamaa na ukaendelea kuongeza juhudi zaidi na sikumoja utafikia malengo yako kwani unaambiwa siku zote juhudi zako ndiyo mafanikio yako nawatakia weekend njema

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom