Pages

Jumatatu, Aprili 27, 2015

UJUMBE WA LEO NA FARAJA NYALANDU (Learn to listen)

Tukijifunza kusikiliza tutasikia vile vinavyotamkwa na hata vile vilivyopotezewa kutamkwa 😶. Kuna nguvu katika kumudu kusikiliza.Uwezo wetu wa kusikiliza unaongeza uwezo wetu wa kujifunza. Zaidi, uwezo wetu wa kuelewa. Jipe nguvu kwa kugawa nguvu. Kumsikiliza mtu ni kumpa jukwaa la kung'ara lakini kwako wewe pia ni fursa ya kujipa ufahamu.
 
Ninachopenda kuhusu kusikiliza ni kusikia yale ambayo hayajatamkwa lakini ukizingatia utayasikia tu na yenyewe. Isn't it powerful? Cause sometimes people leave the most important things unsaid. Alafu inaapply kote, your love, your family, your work and even your friends.
So, do yourself a favor, just pay attention and listen.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom