Pages

Jumatano, Juni 17, 2015

KILA LA HERI WEMA SEPETU KATIKA MAAMUZI YA KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUMU SINGIDA

Kila mtu anaweza kuwa kiongozi kwa namna moja au nyingine akiwa na uwezo na upeo wa kutumikia taifa, hongera wema kwa kuthubutu kwani ni vyema kujitambua na kuthubutu kuwa unaweza kuitumikia jamii, tukumbuke maisha mazuri hayawezi kuletwa kwa kupata bahati nasibu au nafasi fulani   ila maisha mazuri yanaletwa na mabadiliko, na ni vyema mabadiliko hayo ukaanza kuwa nayo wewe mwenyewe ili jamii ikukubali.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom