SOMA UJUMBE ALIOANDIKA WEMA SEPETU KUHUSU MAAMUZI ALIYOCHUKUWA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU SINGIDA
Naanza
kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana
wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri...
Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but
more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi wowote niliokuwa
nimeufanya... Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale nilipoamua
kujiingiza katika maswala ya sanaa...
Vitabu vya dini vimeandika
inapaswa tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya... Pale
Mungu alipoamua kumchukua Daddy Sepetu wangu niliumia sana na nikawa
nimeona kama maisha yangu yalirudi nyuma kidogo, maana ilinibidi nianze
kuishi maisha ya No More Daddy Sepetu.... Maana nilikuwaga ni kipenzi
cha Daddy wangu cuz I happen to be da last born, mwenyewe alikuwa
akiniita Miss World wake.... Nakumbukaga My Late Daddy Sepetu alishawahi
kuniambia kuwa nijaribu kujiingiza katika politics since yeye na siasa
ilikuwa ni kama uji na mgonjwa... And I remember nilimwambia ,"Daddy
Sepetu NO sitoweza" ...
Alikuwa heart broken sana maana alihisi
nikijaribu ntaweza na kilichokuja kumvunja moyo ni nilipochukua uamuzi
wa kufanya International Business na sio hata Political science au
chochote kilichohusu Siasa nilipoenda Chuo... But hakukata tamaa...
Akazidi kuniambia naweza na nilizidi kukataa... Daddy Sepetu wangu This
is for u.... Leo hii nimejikuta mwenyewe nimefanya uamuzi mzito wa
kujiingiza kwenye Siasa na kuona wat it has in store for me... Najua you
are looking down on me smiling... Ila tu jua kuwa Your wife ambaye ni
my Darling Mother nae pia amechangia kiasi kikubwa sana... Nawapenda
sana wazazi wangu maana wanajua Whats Best for me... Haya sasa naingia
vitani... Na sitokubali Defeat... Tho kuna mengi yanaweza tokea...
Namkabidhi Allah yote.... Na niko tayari kwa chochote... Penye nia siku
zote njia haiwezi kukosekana... #KidumuChamaChaMapinduzi#CCMOyeeee#GetAngry#
GetInspired#2015AWalkToRemember#Nimethubutu
Maoni 1 :
MUNGU ATAKUBARIKI UTASHINDA KWANI
PENYE NIA IPO NJIA NAAMINI UMEWEZA KWANI NI VIGUMU KUJIINGIZA KTK SIASA KWA WASICHANAVWENGI TUNATAKA WANAWAKE WAIPNGEZE NCHI YETU WATUSOMAMIE WANAWAKE WENZAO WATUPIGANIE
WEMA UNAMPUO MZURI ULOJAA HURUMA MAPENZI NA IMANI SWALA ZANGU ZIKO KWAKO NA NINGEKUWA NAISHI TANZANIA NINGEKUPIGIA KAMPENI
IMANI YANGU UTASHINDA .
MUNGU AWE NAWE DAIMA AKULINDE NA AKUBARIKI
LOVE YOU SO MUCH WEMA FRM SWDN
Chapisha Maoni