Pages

Jumapili, Julai 19, 2015

"Kipenda roho,hula nyama mbichi"

Unayempenda au anayekupenda sikuzote ni vyema akupende kama ulivyo na akubali yote ambayo anayafahamu kuhusu wewe, na pia ajue kukabiliana na yote yatakayotokea katika maisha yenu ikiwa ni katika shida au raha.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom