Pages

Ijumaa, Julai 10, 2015

"TUSISAHAU TULIKOTOKA"

Kitendo cha majambazi kuvamia vituo vya polisi, kupora na kuwaua walinzi ni matendo haramu, tena ni makosa ya jinai.Dawa ni ulinzi shirikishi, unaojumuisha polisi na nyumba kumikumi.Tuimarishe nyumba kumikumi.ZILITUOKOA KIULINZI. Ujumbe huu na Balozi Christopher Liundi.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom