Pages

Jumanne, Agosti 04, 2015

"Wewe ni mshindi na ndani yako upo ushindi"

"Wewe ni mshindi na ndani yako upo ushindi.Uliumbwa uje kufanikiwa,utimize ndoto zako,kuacha alama katika dunia hii kwa vizazi vya sasa na vijavyo.Una kitu kikubwa ndani yako kubwa ni kutambua hilo na ulifanyie kazi.Kufanya hivyo ni kitimiza kusudio la Mungu juu yako." ujumbe wa leo kutoka kwa Dina Marios

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom