Pages

Jumamosi, Oktoba 31, 2015

"Ukishindwa Leo,jaribu kesho"

Kuwa na malengo Ni sehemu ya maisha ya binadamu lakini pia ili kufikia malengo lazima upitie changamoto, muhimu usikate tamaa kwani Ukishindwa Leo basi jaribu kesho sikuzote mambo huwa yanakwenda tofauti Na ulivyotarajia jambo la msingi kama unayo ndoto basi usiikatie tamaa.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

kweli kabisa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom