Pages

Ijumaa, Mei 20, 2016

"Siyo kila jambo linaweza kurudi kama zamani"

Kuna mambo mengi ambayo tunayafanya katika maisha yetu ya kila siku, na katika mambo hayo kuna mazuri na  mabaya, sasa katika yote ni muhimu kuwa makini, usije ukajutia kile unachokifanya sasa kwani kumbuka majuto ni mjukuu na siku zote maji yakimwagika hayazoleki, hivyo siyo kila jambo linaweza kurudi kama zamani, ndiyo maana waswahili husema yaliyopita si ndwele tugange yajayo.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom