Pages

Jumamosi, Desemba 03, 2016

"Baba familia yako ikiwa na furaha ni heshima kubwa sana"

Baba anayejali familia yake ni baba bora sana, kwani kuna baadhi ya kina baba huwa hawana muda na familia zao hivyo kumbuka wewe Baba haijalishi una uwezo kifedha au la, familia yako inakuhitaji karibu sana  pambama katika maisha yako lakini kumbuka mafanikio yako yaende sawa na kuijali familia yako.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom