Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo TAMU NA CHUNGU YA PENZI. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo TAMU NA CHUNGU YA PENZI. Onyesha machapisho yote

Jumanne, Februari 19, 2013

SIKILIZA SIMULIZI YA TAMU NA CHUNGU YA PENZI SEHEMU YA TATU ILI KUFAHAMU KILICHOMSIBU NIKITA

SIKILIZA MUENDELEZO WA SIMULIZI HII AMBAYO NITAENDELEA KUKUWEKEA KUPITIA BLOG HII MPAKA MWISHO WAKE UTAUSIKIA , ENDELEA  KUWA PAMOJA NAMI.



Jumatatu, Februari 11, 2013

TAMU NA CHUNGU YA PENZI SEHEMU YA PILI,, SIKILIZA MUENDELEZO WA MKASA HUU WA MAISHA YA NIKITA KATIKA MAPENZI,, PIA HII NIMEWEKA NYINGINE KWASABABU KUNA WADAU WAMENIAMBI WALIKUWA HAWAISIKII VIZURI SASA UNAWEZA KUISIKILIZA VIZURI ZAIDI.

SIKILIZA MUENDELEZO WA MKASA WA MAISHA YA NIKITA, NAKARIBISHA MAONI PIA, NIMEIFANYIA MAREKEBISHO KUTOKANA NA ILE YA KWANZA ILIKUWA HAISIKIKI VIZURI ASANTENI KWA USHIRIKIANO.

Alhamisi, Februari 07, 2013

MAHABATI,,,SIKILIZA TAMU NA CHUNGU YA PENZI PART ONE,,,FAHAMU NINI KILICHOMSIBU MSICHANA MREMBO NIKITA,,,,,

SIKILIZA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA AMBAYO NIMEISIMULIA KWA UMAKINI, IKIELEZEA KISA CHA KWELI AMBACHO KINAHUSISHA MAISHA YA MSICHANA MREMBO ANAYEITWA NIKITA NI KISA AMBACHO KITAENDELEA USIKOSE SIMULIZI HII  YA TAMU NA CHUNGU YA PENZI, SIKILIZA  KWA KU PLAY HAPA CHINI NAKARIBISHA MAONI PIA, 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom