migogoro katika mahusiano ni kitu ambacho kinaumiza sana hususani ktk mahusiano ya kimapenzi.hivyo basi ni vyema tukajitahidi kuepuka vyanzo vinavyoweza kusababisha migogoro katika mahusiano yetu,kwani migogoro hiyo hujeruhi moyo na pia kumbuka kuwa bora jeraha la mwilini utaweka dawa na kulitibu hatimaye utapona lakini jeraha la moyoni huwezi kuweka dawa ili upone zaidi hupona kwa faraja.hivyo basi tuwe makini katika mahusiano yetu tuepuke migogoro. |
Maoni 3 :
ni kweli jamani migogoro imekuwa chanzo kikubwa katika kuvunjika kwa baadhi ya mahusiano na hata ndoa za walio wengi,,na wakati mwingine unakuta chanzo kinakuwa ni kitu kidogo ambapo wapendanao wangeweza kukaa na kuyamaliza,mfano chanzo kinaweza kuwa simu ya mkononi na hatima yake wapenzi wakaachana na kuacha watoto wakiwa wanapata tabu,ni vizuri kutafuta njia mbadala katika kutatua migogoro.
Nakubalina na nyie jamani ni kweli ni vizuri kutafuta njia sahihi za kupambana na migogoro katika mahusiano,,mpe hi Eunice naona yupo mtamboni safi sana....
MI ADELA NIMECHOKA NA MAMBO YA MAPENZI MPENZI SINA TENA MOYO WA KUMPENDA MWANAUME KABISA
Chapisha Maoni