lovely pic,,she is so cute,,baadhi ya wanawake hutumia njia za mitego kufikisha ujumbe kwa mwanaume anayempenda lakini anaogopa kumwambia kwa kuhofia kufikiriwa vibaya...........kwa mtego kama huu balaa...mimi sizani kama ni kitu cha ajabu mwanamke kumtokea mwanaume kwasababu anaelezea hisia zake kama ilivyo kwa mwanaume ila kwa vile imezoeleka mwanaume ndio anayemuanza mwanamke basi inabaki kuwa hivyo,,ila kuna baadhi ya makabila ni kitu cha kawaida je kwa wewe mdau unasemaje...
Maoni 7 :
Hakuna ubaya wowote kwa mwanamke kumtokea mwanaume anaye mpenda na kumwambia ukweli kwani sasa ni ukweli na uwazi
Kimtazamo wangu,na wa jamii ya sasa ilivyo, sidhani kama mwanamke utaeleweka eti umuendee mwanaume na umueleze hisia zake waziwazi,hii inawezekana kama labda mupo chuo pamoja,halafu munasoma darasamoja kwa muda mrefu mumezoweana kwa kiasi fulani,na kuna wakati munaangaliana kihisia fulani,sasa hapa inawezekana wakati munatoka break,mwanamke huyo akakwita pembeni na kuanza kueleza hisia zake za muda mrefu kwako, but mwanamke from know where, aje tu aanze kukueleza eti amekuzimia mmmh hapo sidhani kama patakuwa na maelewano yoyote,mwanamke huyu atajivunjia heshima yake!
asante Hashir tuko pamoja kama kawaida,ila kama amekupenda jamani anakueleza tu ukweli wa kile alichonacho moyoni na hata kama amekuja from know where unaweza kumsikiliza na baadae ukajua ukweli unampa muda hata kidogo ajielezee,,asante pia @Alice kwa mchango wako.
mimi naona poa sana, kwani anaeleza jinsi anavyojisikia, safi sana tena napenda siku 1 demu anitokee, tatizo wanaogopa kukataliwa by ARON john
daah ni kweli uyasemayo Aron me pia nilikuwa natamani sana kutongozwa na mtt wa kike ikatokea siku nikatongozwa si nikajua nimependwa kiukweli kumbe mtoto kanipendea pesa acha anichune nilitoa pesa kaka kuja kushtuka nikaona hakuna mapenzi nikaachana naye. sikukata tamaa akatokea mwingine huyu alikuwa na mapenzi ya kweli ndo nipo naye.by Pipo
shua hakuna ubaya hapo kabisaaaaaaaaaa kwani mwanamke hakuumbiwa mapenzi???mwanamke pia ana haki ya kuelezea hisia zake juu ya yule ampendaye bana...tena mara zote huwa faraja na mwanaume husikia furaha sana pale anapotamkiwa kua anapendwa ndugu zagu,na huo ndio ukweli halisi....tuache mila na tamaduni za zamani zilizo nje ya wakati watanzania!!!ni hayo tuu,,,,by MWAKA T!!!
Yan kama mim natamani sana kumtongoza mwanaume kabla yey hajaanza.....napenda kuelezea hisia zangu
Chapisha Maoni