mnaweza kuwa katika furaha,, na mahaba mazito mara ghafla iyo hali inapotea na kuanza migogoro ya hapa na pale na kupelekea furaha mliyokuwa nayo na mabusu motomoto mliyokuwa mnapeana yote yakaisha,jamani what to do, ili kutulia na mpenzi mmoja kitu ambacho kimekuwa kigumu sana katika asilimia kubwa ya baadhi ya watu katika mahusiano................na katika hili akina nani wanaongoza.???
Maoni 3 :
Mapenzi ni kizungumkuti ni kumuomba Mungu
nakubali wangu haya mambo yapo sana mpenzi mmmh tena unanikumbusha machungu.
wanaume wanaongoza jamani tuko pamoja
Chapisha Maoni