Ijumaa, Septemba 24, 2010

Muhimu mwanamke kuwa na aibu hata kidogo,, inapendeza jamani..

Katika maisha hata mahusiano mwanamke anatakiwa kuwa na aibu kidogo inaleta mvuto,,kwani kuna wanawake wengine wanakosa aibu na kujikuta wanajidhalilisha mbele za watu kwa kufanya mambo yasiyopendeza kama kunywa pombe kupita kiasi,,kuwa muongeaji sana mbele za watu kuwa na lugha chafu,,kuvaa mavazi yanayo kudhalilisha na mambo mengine ambayo unakuta mwanamke anayafanya bila ya kuwa na uso wenye kuona aibu hata kidogo haipendezi jamani.....



Maoni 3 :

o'Wambura Ng'wanambiti! alisema ...

natumai humaanishi kuwa na aibu kama kutojiamini!

Bila jina alisema ...

Ni kweli Adela, nakumbuka miaka miwili iliyopita nilikuwa na girlfriend mwanzo sikuwa namjua vizuri lakini baadae nikaja gundua kumbe ni muongeaji sana na kilaji mpaka hata mimi simfikii, ile uongeaji sana na watu tofauti tofauti ilinikera sana mpaka nikaamua kuvunja hiyo relation. Ingawa mtu asiwe na aibu sana kupitiliza mpaka inakuwa kero tena

ADELA KAVISHE alisema ...

@Chacha hapana simaanishi hivyo kujiamni wajibu kuna mambo mengine ambayo yanaitaji aibu hata kidogo jamani hususani mwanamke hususani katika tabia hatarishi,,,thanx all tuko pamoja

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom