Ijumaa, Oktoba 08, 2010

Kukoroma kitandani wakati wa kulala,,ni kitu cha kawaida,,lakini ikizidi duuuh..inakuwa balaa.

Inawezekana kutokana na uchovu wa kazi,,wa katika wa  kulala ukakoroma sana na wakati huo unashindwa kujitambua kama unakoroma..mwingine anakoroma kwasababu,ndivyo alivyo,,au kwasababu amechoka,,au anaumwa mafua....

Mbaya zaidi upo kazini umechoka ukapitiwa na usingizi na kuanza kukoroma kwa sauti hadi wafanyakazi wengine jirani wanakusikia.

Pia kukoroma ni kero kwa yule ambaye hajalala,,wewe umesinzia unakoroma,,kwa mtu  mwingine anashindwa kupata usingizi na kukuangalia unavyokoroma..au atakuhamsha..ili aweze kupata usingizi.

Pia ulevi unachangia mtu kukoroma kwa sauti,,kutokana na ulevi na mtu huyo atakoroma popote pale atakapojiegesha,,sasa kwa picha ya jamaa hapo juu,,sijui anakoroma kwa style gani....na katika kukoroma ni kwa wanawake na wanaume,,,ila sijui kina nani wanaongoza.

Maoni 1 :

o'Wambura Ng'wanambiti! alisema ...

hakuna wa kuongoza wote sare sare...lol!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom