Jumapili, Novemba 14, 2010

Mtindo wa kusuka yeboyebo ni mtindo usiopitwa na wakati,,

Wanawake walio wengi hupenda kusuka  mtindo wa yeboyebo kwasababu ya kuepuka usumbufu wa kwenda saluni mara kwa mara nilimuuliza Alice kwa nini anapenda kusuka yeboyebo alisema "mimi napenda kusuka yeboyebo kwasababu ni mvivu wa kuchana nywele, ninapoamka asubuhi kwenda chuo sipati usumbufu wa kuchana nywele na pia kwasababu najisikia huru nikisuka yeboyebo"alisema Alice
katika pozi na tabasamu zito akionyesha yeboyebo ilivyosukwa
Yeboyebo inavyoonekana kwa kwa nyuma,,ukitaka mtindo huu ukupendeze lazima msusi awe makini  na asiwe na haraka

Asante sana mama Sudi  pande za chang'ombe msusi aliyesuka nywele hizi .PENDEZA NA YEBOYEBO WAKATI WOTE.

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Naomba nitumie namba ya msusi kwenye mwanahalisi2010@hotmail.com, nimependa alivyosuka na pia aliesukwa kapendeza!

ADELA KAVISHE alisema ...

my dia nipigie katika namba yangu nitakuelekeza tuko pamoja mwaya

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom