Jumapili, Novemba 21, 2010

Weekend hii tulimuaga dada yangu kipenzi Jacky tayari kwa maandalizi ya ndoa,Kila la heri my sister.

Upande wa kushoto pichani Jacky akisikiliza kwa umakini mawaidha ya wazazi.
Mimi mwenyewe Katika pozi la kufurahia jambo katika sendoff ya Jacky

Katika shughuli yoyote ya Wachaga lazima kuwe na ndafu yaani ilikuwa raha sana

Jacky akitoa shukrani kwa ndugu jamaa na marafiki pembeni ni mume wake mtarajiwa .

Kila la heri dada yangu Mungu akubariki katika safari ya maisha ya ndoa.

Maoni 8 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

nami nakutakia kila la kheri dada Jacky:-)

Simon Kitururu alisema ...

Kila lakheri JackY!

Halafu nyie naona mmefananafanana sana tu kwenye familia yenu!

emu-three alisema ...

Mhh, tunasubiri ya kwako, au imeshapita?

Bila jina alisema ...

hongera jack!

Bila jina alisema ...

hongera jack!

ADELA KAVISHE alisema ...

asanteni sana marafiki zangu ujumbe umefika kwa Jacky

Bila jina alisema ...

Kwaheri Mshiki

Bila jina alisema ...

Jamani huyu si Herman! Hongera Jacky,nimesoma nae huyu Arusha! Mume umepata mwenyezi Mungu awatangulie!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom