Ijumaa, Desemba 24, 2010

Tusherekehe sikukuu ya Christmas kwa amani na upendo,,kumbuka kumnunulia zawadi ya sikukuu umpendaye.........

Inapendeza sana kusherekea sikkukuu pamoja na yule umpendaye mkumbuke mwenzio kwa zawadi yoyote nzuri   kwani huongeza furaha na mvuto zaidi


Usimuache mwenzio ajisikie mpweke kipindi cha sikukuu kwani kuna baadhi ya watu badala ya kuwa pamoja na familia au mwenza wake anaamua kutoka mwenyewe na marafiki zake kiyu ambacho siyo kizuri. TUFURAHI PAMOJA NA FAMILIA ZETU WAKATI WA SIKUKUU


BE HAPPY ALWAYS  MAY GOD BLESS YOU.....


Maoni 4 :

emu-three alisema ...

Sikukuu njema na wewe na umpendaye, pia na wewe usisahau kumnunulia huyo umpendaye zawadi

Yasinta Ngonyani alisema ...

Sikukuu njema nawe pia Adela!!

Simon Kitururu alisema ...

Noeli njema Adela!

Bila jina alisema ...

Thanx for the wishes mamie, same goes to u too. But dont u think kwenye ili swala la zawadi inadepend na uwezo?
I luv to buy a gift for mpenzi but kipato wangu yaani ful kuniangusha, kila ninachouliza ni very expensive i cannot afford it, may be what are the cheapest gifts u suggesting? PLZ HELP

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom