Jumanne, Desemba 14, 2010

Yun long Chinese Restaurant iliyopo Mwanza wanapika chakula kizuri,,tulijumuika baadhi ya wafanyakazi wa Passion FM kupata chakula cha usiku.

Eunice Kanumba na Hilal Sadala
Devota Sotel
Chips na Sato inavyoonekana
Adela katika pozi baada ya kushiba sato wa Mwanza
Mazingira ya eneo la Chinese Restaurant yanavyoonekana

Kabago na Dj George wakijipatia msosi wa nguvu

Hilal Sadalah kwa umakini akimchambua Sato


Dj George katika pozi baada ya kushiba

Henry Kavirondo katika pozi


hapa Kabago alikuwa akiaga tayari kwa kuondoka

Ukifika kwa nje utakuta kibao kimeandikwa hivyo kiukweli ni pazuri na wanapika chakula kizuri sana.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom