Muonekano wa Chips Kuku katika picha ni chakula kinachopendwa na watu wengi hususani watoto chakula hiki ni kitamu sana ukiwa na kachumbari ,tomato au pilipili kama unatumia,,lakini pia kuwa makini usipendelee kula mara kwa mara mlo huu kwani husababisha mwili kuongezeka kwa kasi sehemu za tumbo,kifua kupanuka nk...unaweza kula chips kuku kama chakula cha mchana au jioni karibu sana. |
Maoni 2 :
Kuku wa kienyeji lakini? au broiler ambazo hukuzwa ndani ya wiki moja kwa chakula cha fomula.
mate yananidondoka jamani,nimemiss hiki chakula,huku kipo ila hakina ladha kama ya nyumbani..weekend njema Adela
Chapisha Maoni