Inapendeza kuona familia ikiwa na umoja na ushirikiano wa Baba ,Mama na watoto kwani huleta mafanikio na furaha katika familia haipendezi kuona Baba anamchukia mama au watoto au mama anamchukia baba au watoto Heshima ni nguzo pekee katika familia na hata yanapotokea matatizo ni muhimu kukaa baba na mama na kutafuta ufumbuzi usiruhusu migogoro ya kudumu itawale katika familia yako.........FAMILIA YAKO NI KILA KITU KATIKA MAISHA YAKO |
Maoni 4 :
kwa kweli inapendeza sio uwongo....
Wanasema mapenzi mazuri huanzia kwa baba na mama. Watoto waliolelewa ndani ya ndoa ya wazazi wawili , hujifunza mapenzi toka kwa wazazi wao, na aghalabu ndoa yao ikayumba. Ndio maana tunashauriwa hata kama kuna kusigishana kati ya wanandoa kwepeni sana kuwaonyesha watoto wenu.
Amen!
tuko pamoja ndugu zangu familia ni kila kitu,,,
Chapisha Maoni