Jumapili, Januari 30, 2011

Furahia kuwa karibu na umpendaye wakati wote.

Utani mnapokuwa pamoja unaongeza mvuto
Jisikie faraja kwa hisia na harufu nzuri ya umpendaye



furaha na kukumbatiana

zawadi nzuri kwa umpendae

furahia penzi ulilonalo wakati wote MUHIMU KUWA MBUNIFU

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

Kweli kabisa, ni furaha sana kuwa karibu na umpendaye...i hope, upo naye kwa saana. Shukurani kwa ujumbe huu murua

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom