Matha Lukasi aka Mama Koku akiwa katika pozi, nimeyapenda sana maneno yake leo kuwa mwanamke ni kila kitu katika kuijenga familia jamani akina mama ni muhimu kushikamana kuijenga familia uliyo nayo kwa upendo na amani kwani unaambiwa mama akiwa anatetereka katika majukumu ya kifamilia kama kuwaangalia watoto, usafi,mapishi,upendo,na bajeti ya vitu nyumbani basi lazima nyumba itakuwa haipo katka mstari ulionyooka.... |
Maoni 2 :
kweli pozi limetoka bomba
Sijui ni kwanini lakini POST hii imenifanya nijue zaidi labda wanaume nao ni muhimu pia katika famili!:-(
Chapisha Maoni