Ijumaa, Januari 28, 2011

Mwanamke ni kila kitu katika kuijenga familia.

Matha Lukasi aka Mama Koku akiwa katika pozi, nimeyapenda sana maneno yake leo kuwa mwanamke ni kila kitu katika kuijenga familia jamani akina mama ni muhimu kushikamana kuijenga familia uliyo nayo kwa upendo na amani kwani unaambiwa mama akiwa anatetereka katika majukumu ya kifamilia kama kuwaangalia watoto, usafi,mapishi,upendo,na bajeti ya vitu nyumbani basi lazima nyumba itakuwa haipo katka mstari ulionyooka....

katika tabasamu zito Mamito ujumbe wako mzuri sasa je kina baba mkiwa wenyewe majukumu kama kulea mtoto na mambo mengine mtayaweza kweli,,au baba kazi yake ni kutoa pesa za mahitaji peke yake,,,

Maoni 2 :

emuthree alisema ...

kweli pozi limetoka bomba

Simon Kitururu alisema ...

Sijui ni kwanini lakini POST hii imenifanya nijue zaidi labda wanaume nao ni muhimu pia katika famili!:-(

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom