Inakuwaje unamsaliti umpendaye huku ukiwa unaogopa kumpoteza na kama kweli unampenda kwa nini unamsaliti..,,,
Jamani mimi huwa najiuliza kwa nini unakuta mtu anakusaliti lakini unakuta bado anakuhitaji na anaogopa kukupoteza inamaana anapokusaliti anamaanisha kitu gani,,,, kama kweli anakuhitaji si awezi kukusaliti i need to this wadau....................
Hapo Adela ni kama vile umekaa na mwenzako , mara anainuka anakuambia `nakuja' huku anaondoka. Sijui umenipata. Mhh, pia na kama vile mpo mezani kila mtu anasahani yake ya chakula, lakini mwenzako anaonja chakula chako...! Ninachotaka kusema ni kuwa `usaliti' inaweza ikawa ni tabia ya mtu `mbaya' hatosheki, ana tamaa. Lkaini pia inaweza kuwa ndani ya ndoa, kwenye muhimili wa ndoa kuna `walakini' Nanona nisende ndani sana, ila kwa wenye kuelewa wameelewa.
Mara nyingi wanaume hu cheat lakini sio kwamba hawawataki wenzi wao hapana, na ndio maana wanafanya kwa kificho ili wenzi hao wasijue hayo mahusiano ya ziada, na the minute ukijua na ukambana huo uhusiano wa nje unakufa.... hii ni kusema anakusaliti lakini hawataki kukupoteza...inashangaza labda ningekuwa mwanaume ningekuwa na majibu. Wanaume....Mtakatifu na wengine hebu tuambieni, inakuwaje hili?
Nachojua anayekupenda kwa dhati hawezi kukusaliti, hapo likikiupata usijipe excuse eti ananipenda sana anaogopa kunikosa, nooooooooo! utakua unajidanganya mwenyewe.
Maoni 3 :
Hapo Adela ni kama vile umekaa na mwenzako , mara anainuka anakuambia `nakuja' huku anaondoka. Sijui umenipata.
Mhh, pia na kama vile mpo mezani kila mtu anasahani yake ya chakula, lakini mwenzako anaonja chakula chako...!
Ninachotaka kusema ni kuwa `usaliti' inaweza ikawa ni tabia ya mtu `mbaya' hatosheki, ana tamaa. Lkaini pia inaweza kuwa ndani ya ndoa, kwenye muhimili wa ndoa kuna `walakini'
Nanona nisende ndani sana, ila kwa wenye kuelewa wameelewa.
Mara nyingi wanaume hu cheat lakini sio kwamba hawawataki wenzi wao hapana, na ndio maana wanafanya kwa kificho ili wenzi hao wasijue hayo mahusiano ya ziada, na the minute ukijua na ukambana huo uhusiano wa nje unakufa.... hii ni kusema anakusaliti lakini hawataki kukupoteza...inashangaza labda ningekuwa mwanaume ningekuwa na majibu. Wanaume....Mtakatifu na wengine hebu tuambieni, inakuwaje hili?
Nachojua anayekupenda kwa dhati hawezi kukusaliti, hapo likikiupata usijipe excuse eti ananipenda sana anaogopa kunikosa, nooooooooo! utakua unajidanganya mwenyewe.
Kama umewahi kupenda utanisapoti kwa hilo
Chapisha Maoni