Mambo vip mumy!
Mimi ni mfatiliaji mzuri wa blog yako,naomba nisaidie kunitafutia ushauri kwa watu wanao soma hii blog,mimi ni msichana wa miaka 28,tangu naanza kuwajua wanaume ni mwaka wangu wa 6 ,na nimesha wahi kuwa na mahusiano na wanaume wanne tofauti,cha ajabu ni kwamba huwa sifiki kileleni hata kama nifanyeje hamu ya mapenzi haishi,nifanyeje natamani kuridhika kama wanavyo jisikia wenzangu but ndo hivyo tena..
Maoni 2 :
cha muhimu ni kuridhika ndugu yangu kama utakuwa unafikiria hivyo utamaaliza dunia nzima pale unapokutana na mpenzi wako jaribu kuconcetrate kwake hasa mnapokuwa mnapeana raha za chumbani na mtumie utundu wenu wote ni imani yangu utaridhika tu
Kilele kinaanzia kwenye ubongo wako, kama tayari umeshajiwekea hufiki kilele rafiki hutakaa ufike hata ukifanya mapenzi na nani.
Nadhani hujawapenda mpaka wakakuingia moyoni hao wapenzi wako wote au pia hao wapenzi wako ni wabinafsi, wakishajiridhisha wao basi wewe hawakujali.
Ajabu kilele kinaatoka kwako na sio kwa mwanaume, imagine pale unapofanya mapenzi ukiwa una hamu sana na pale unapofanya mapenzi mwenzio ndo ana hamu kuna tofauti. Halafu rafiki ukishughulika sambamba na mwenzio na kumwelekeza pale ambapo unaona akikugusa mambo mazuri utafika kilele lazima.
Ongeeni, wapi ukishikwa unanyegeka, na kama hujafika kilele pia mwambie, mwenzangu eeh, mi mambo bado. Waweza mwambia kwa maneno au vitendo. Akishapumzika basi anza uchokozi tena atajua mambo bado. Mi mwenzio mwanaume wangu wa kwanza sikukijua kilele ila huyu wa pili nikimuona tu hata hajaniambia chochote mi niko tayari, akigusa tu safari akiendelea mwana wane napata mpaka COUNTLESS ORG.
Chapisha Maoni