Jumanne, Januari 25, 2011

Mabadiliko ya ghafla katika mahusiano ndiyo mwanzo wa kuanza wizi wa mapenzi.

Katika mahusiano wezi wengi wa mapenzi huonyesha dalili ambazo hata wao wenyewe hawawezi kujua na hivyo  kutokana na hilo wanashindwa kuzificha, dalili nyingi za wizi wa mapenzi unaweza ukazigundua kwa kutumia macho yako,masikio yako na ufahamu ulionao juu ya mpenzi wako na usifikiri zinakuwa ni dalili ambazo ziko wazi ni dalili za ndanindani ambazo zinaweza kumuumbua mwizi wa mapenzi hivyo ni vizuri zaidi kuweza kuzigundua dalili za wizi wa mapenzi ili kuokoa uhusiano ulionao kwasababu ukichelewa uhusiono unaweza ukafa kabisa. FUMBUA MACHO YAKO NA AKILI YAKO ILI KUGUNDUA MABADILIKO YANAYOJITOKEZA KATIKA UHUSIANO ULIONAO.

Maoni 2 :

Unknown alisema ...

kuibiwa penzi siku hizi ni kama wimbo! ndo maana unaambiw, huwezi pata jiko la peke yako kwa siku kama hizi!

Bila jina alisema ...

Wizi wa mapenzi mmmh! umeshika hatamu. Wasichana tuna tamaa ya vitu vya gharama hivyo kujirahisi kwa kila mwenye nacho. Wanaume wana tamaa ya kila mrembo wanayemuona...na warembo wenyewe siku hizi walivyo wengi wewe shughuli hiyo.
Sijui twaenda wapi.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom