Alhamisi, Februari 03, 2011

Katika kuchagua mchumba wengi huangalia mvuto kwanza,,,LAKINI NI MUHIMU KUWA MAKINI


wanaume walio wengi huangalia mvuto wa maumbile ya mwanamke.

Uzuri wa sura ya mwanamke
Na kwa wanawake walio wengi huangalia mwanamume mtanashati na mwenye mvuto wa nje na wengine wapo kimaslahi zaidi, yaani wanatafuta wanaume wenye pesa



Kuwa makini ni kweli hakuna asiyependa mwanamume mzuri au mwanamke mzuri lakini ni vizuri kwa makini kuangalia na tabia pia

Maoni 4 :

Bila jina alisema ...

dah, hii umenikumbusha rafiki yangu baraka nilikuwa nae pale chuo cha biashara yy anakuambia dem kwanza awe na mvuto mambo ya tabia na mengineo tutajuana mbele kwa mbele!!!!!!! japo ni kwel tabia njema ndio kila kitu ktk kumtafuta mwenzi, haina maana kuwa na dem mkali wa kuuza nae sura mtaani ila mkifika ndani nyumba haikaliki kutokana na ugomvi usioisha!!

Simon Kitururu alisema ...

Mmmmh!

Bila jina alisema ...

shida ya wanaume na wanawake ni hapo.Wanasema mvuto kwanza.Lakini kama utakua na mwenye mvuto ila huna amani ni buremshauri mtu kw.cenye mvuto ila nashauri kwenye tabia.mvuto ni kitu kidogo sana kwenye mahusiano wangapi wanao wenye mvuto lakini ndani hapaliki,hapalaliki.na hulka ya watu wenye mvuto ni kujiona bora kuliko wengine na wakijua kwamba wengi wanawaona sasa wewe mwenye sura mbaya utamtisha nini.Hutaki nenda watakuja wenzio.

emu-three alisema ...

Kazi kwelikweli, nani unayemtaka awe wako, sura iweje, umbo liweje...mwisho wa siku unampata ambaye kabisa hukumuwaza..unafikiri kwanini? Nimejiuliza sana, kwani juzi nilikutana na jamaa mmoja alikuwa `akinata' na kuwasema wale walio-oa, au kuolewa na `aliowaita' `mguu wa kushoto'
Hutaamini kamuoa yule yule aliyekuwa anamkandia kuwa ni miongoni mwa wenye mguu wa kushoto...ilikuwaje...mmmh, ngoa nitaangalia kama ninaweza kukiandika kisa chake! Lakini sio hapa , kule kijiweni kwangu!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom