Alhamisi, Februari 03, 2011

Ili uweze kuwa na uhusiano wa kudumu jaribu kuepuka migogoro katika mahusiano..

Haipendezi kuwa katika hali hii tazama mwnamume yuko bize na laptop yake mwanamke pembeni amenuna sasa hapa kama kila mmoja akiamua kununa hakuna kujenga zaidi ya kubomoa

Migogoro inasababishwa na mambo mengi sana lakini kuliko kununiana ni bora kuzungumza kwani inaweza kuwa hatari zaidi

Wakati mwingine hupelekea wapendanao kukaripiana kwa lugha chafu, na hata kupigana kutokana na kila mmoja kutokubali kushindwa na mwisho wake huwa mbaya


Mbaya zaidi ni pale mmoja anapoumia zaidi kwani unaweza kukuta mwanamume kalala lakini mwanamke bado yupo macho akiendelea kulia,,Muhimu kukaa pamoja na kuweka sawa mambo yanayoweza kuleta migogoro katika uhusiano ulionao.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

C MIGOGORO TU BALI YA MARA KWA MARA.MAANA KAMA KILA CKU NI KUGOMBANA CDHANI KAMA MWAKA UTAISHA UHUSIANO BADO UPO.INGAWA SOMETIME UHUSIANO NI KITU KIGUMU SANA ZAIDI YA WATU WANAVYOHIC ITI NEEDS MOYO WA UVUMILIVU SANA INGAWA KWA CC WENGINE UVUMILIVU ULITUSHINDA.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom