Haipendezi kuwa katika hali hii tazama mwnamume yuko bize na laptop yake mwanamke pembeni amenuna sasa hapa kama kila mmoja akiamua kununa hakuna kujenga zaidi ya kubomoa |
Migogoro inasababishwa na mambo mengi sana lakini kuliko kununiana ni bora kuzungumza kwani inaweza kuwa hatari zaidi |
Wakati mwingine hupelekea wapendanao kukaripiana kwa lugha chafu, na hata kupigana kutokana na kila mmoja kutokubali kushindwa na mwisho wake huwa mbaya |
Maoni 1 :
C MIGOGORO TU BALI YA MARA KWA MARA.MAANA KAMA KILA CKU NI KUGOMBANA CDHANI KAMA MWAKA UTAISHA UHUSIANO BADO UPO.INGAWA SOMETIME UHUSIANO NI KITU KIGUMU SANA ZAIDI YA WATU WANAVYOHIC ITI NEEDS MOYO WA UVUMILIVU SANA INGAWA KWA CC WENGINE UVUMILIVU ULITUSHINDA.
Chapisha Maoni