Inapendeza kuwa karibu na mwenza wako siku ya wapendanao usimuache mwenzio peke yake, kwani siku hii kuna wengine wanafurahi na wengine wanalia baada ya kutendwa kwani unakuta mwanamume au mwanamke ana mpenzi zaidi ya mmoja kwahiyo anajichanganya kwa kushindwa kuelewa aende kwa nani siku hiyo ikiwa ni kwamba wote wanamuhitaji.kuwa makini katika hili unaweza kugundua kama mwenzio siyo muaminifu. |
Maoni 2 :
Ahsante Adela kwa kutuhabarisha mapema isije ikawa kisingizio nilisahau.
DUH! Ngojea nitafute chapuchapu ninaye mpenda!:-(
Chapisha Maoni