Jumatano, Februari 23, 2011

Wapo baadhi ya wanaume wanaona aibu sana katika mapenzi...

Katika mapenzi hata wanaume wana aibu inawezekana akawa anampenda msichana lakini akaogopa kumwambia kutokana na kuona aibu lakini vilevile kuna wengine ni wanafki wanakuwa na aibu za uongo akikuzoea tu inakuwa balaa,,wapo baadhi ya wanaume kutokana na kuwa na aibu huwatumia watu kama marafiki zao wakaribu kumtokea msichana yaani kwenda yeye mwenyewe anashindwa na sio hivyo tu wapo ambao tayari wanawapenzi wanashindwa kuwafurahisha wapenzi wao kutokana na kuwa na aibu na katika hili lipo pia kwa wanawake unakuta anashindwa kumridhisha mpenzi wake kutokana na aibu,,,UNAWEZA KUONDOKANA NA TATIZO HILI MUHIMU NI KUJIAMINI KWA KILE U NACHOKITAKA KWANI KUPENDA SI DHAMBI JAMANI,,,,UKIWA NA AIBU HUWEZI KUMFURAHISHA MWENIZO

Maoni 5 :

emu-three alisema ...

Adela, tupo, ila nilikuwa naponyesha kihoro cha mabomu. Ukitaka kujua ilikuwaje siku hiyo , hebu nitembelee hapa: http://miram3.blogspot.com/2011/02/kama-hujui-kufa-chungulia-kaburi.html
Nitaongea kuhusu mada hii kesho!

Bila jina alisema ...

hilo nalo neno lkn bora mwnenye aibu kulikoni yule selfish kuna wanaume wengine wnatak akila itu wafanyiwe. hajishughulishi wanakera kweli.

Bila jina alisema ...

Adela, mimi ni mmojawapo wa watu wenye aibu sana kumtongoza demu ninayemzimia.Unajua kwa muda mrefu nimekuwa nikikupenda sana wewe na kutaka sana niku-approach ili nikuombe urafiki lakini nakuogopa, sijui nifanye ili nikufikie Adela kweli nakupenda ile mbaya dada lakini sina ujasiri wa kukutemea cheche zangu live.Adela, tafadhali dada nipe hata neno moja tu nichonge njia ya kukufikia mahali ulipo.Asante.

emu-three alisema ...

Hahaha, kazi kwako Adela, watu wameamua kutoa aibu kwako mwenyewe, twasubiri jibu lako, ikiwezekana live...lol

Bila jina alisema ...

ndio

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom