Pichani ni binamu yangu kipenzi anaitwa Careen anasoma darasa la nne ni mtoto anayependa kufurahi wakati wote na ana malengo yakuwa mwanasheria hapo baadaye |
Careen katika pozi mwenyewe anakuambia anapenda pia kuwa mwanamitindo lakini muhimu kusoma kwanza mambo mengine baadaye |
She is always smile |
binamu zangu nawapenda sana Careen pamoja na Neema ,,kila la heri katika kutimiza malengo yako Careen |
Maoni 4 :
Niliwahi soma chapisho laaa.... akieleza kuwa MAMBO YA KUKUSAIDIA UNAPOWEKA MALENGO YA MWAKA 2011.
Akataja Mambo 5 ya kufanya.
1. Weka malengo yako mapema, kwa kuzingatia vipaumbele vyako.
2. Weka mikakati ya kutekeleza malengo yako
3. Fanya tathmini ya utekelezaji wako wa malengo
4. Boresha malengo kadri muda unavyokwenda, kwa kuzingatia tathmini unayoifanya.
5. Jenga mazoea ya kuyasoma na kutafakari malengo yako mara kwa mara.
MPANGO WOWOTE USIPOMHUSISHA MUNGU NOTHHING CAN HAPEN.
Unaweza pitia: http://sanga.wordpress.com/2010/12/24/mambo-ya-kukusaidia-unapoweka-malengo-ya-mwaka-2011/
mtoto mzuri usome kwa bidii
mtoto mzuri usome kwa bidii
Chapisha Maoni