Inapotokea ndani ya nyumba wanandoa hawana mawasiliano mazuri ni wazi kabisa inakuwa vigumu kuridhishana, kama hamuongei au maongezi yenu ni ya mashaka, muda mwingi mnautumia kukwaruzana na vitisho vya hapa na pale, sasa katika hali kama hii utaweza vipi kumweleza mwenzako unachohitaji kwa suala zima la mapenzi, namna pekee ya kukabiliana na hali kama hii ni kuwa wazi kwa mwenza wako kwani matatizo hayawezi kumalizika kwa kukaa kimya kwani kuna mwingine anafikiri kukaa kimya ndiyo kuepusha matatizo kumbe matatizo ndiyo yanazidi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni