Jumanne, Julai 19, 2011

Tabia njema ni zaidi ya urembo kwa mwanamke

Neema akiwa katika pozi ni binti mrembo ambaye yeye ana malengo yakuwa mfanyabiashara anasema "mwanamke mrembo sikuzote lazima ajiheshimu vinginevyo atatumika na wanaume na mwisho wake atabaki amechoka na nurembo wake wote usionekane nawashauri wanawake turingie urembo wetu kwa kujiheshimu.

ALice katika pozi "ukishajitambua wewe ni nani katika jamii basi utajiheshimu wanawake wengi wanatumia urembo wao kama biashara ujumbe wangu wanawake tujitambue tufanye maendeleo 

Maoni 1 :

emu-three alisema ...

Ni kweli ndio watu wengi huishia kushangaa, `mbona yule mwanamke kaolewa ingawaje sura ni kama yangu...' na vitu kama hivyo. Tuue tabia njema ni baraka, tabia njema humtoa nyoka pangoni, na tabia njema huzidi vyote katika utashi wa binadamu, sio kwa mwanamke tu!
Swali kubwa ni je tabia njema ni ipi?

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom